Translate

Sunday, November 10, 2013

Elimu haina mwisho,walimu tujiendeleze.

Mzee huyu tunamfaham au tulisha sikia stori zake,aliamua kuji up-to-date mwenyewe,akafanya maamuzi ya kwenda darasani. Mwalimu,elim haina mwisho tujiendeleze hata kama utanyimwa ruhusa maana maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe,usisubiri mkuu akuambie.

Saturday, November 2, 2013

KUFUNDISHA MTOTO WA AINA HII KAZI KWELI YAANI.

Kipaji hiki Tanzania si mahali pake.

MATOKEO YA DARASA LA SABA TAYARI.

Baraza la mitihani la taifa limetoa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (darasa la saba) na kusema kuwa kiwango cha ufaulu Kimeongezeka tofauti na mwaka jana na kufiki asilimi 19 ambapo wanafunzi wamefanya vyema katika somo la Kiwahili huku wakianguka katika somo la Hisabati.