Habari.
Ndugu walimu, hivi sasa Kuna technology mbali mbali zinazoweza kutumika katika kufundishia.
Mimi nnataka niiongelee moja, ambayo ni MATUMIZI YA PROJECTOR mashuleni.
Projector inamvuto kwa mwanafunzi na mwalimu, hivyo kufanya somo kuwa zuri na lenye kupendeza, pia projector inasaidia kutoa audiovisual evidences ambazo mwanafunzi hata zisahau ( wanAfunzi wa sasa wako interested na audiovisual,aidi)
Si hivyo tu, pia projector inamsaidia kuendana na kasi ya syllabus,hivyo kuwa na muda wa kutosha kwaajili ya revision.
Challenge.
Challenge kubwa nnayoiona ni elimu ya kifaa hiki na matumizi yake, baina ya walimu na wakuu waidara plus head of schools.
Upatikanaji wa hiki kifaa ni mgumu, hii ni kwasababu ya bei ya kifaa chenyewe kuwa kubwa.
Upatikanaji wa umeme mashuleni ni tatizo kubwa, maana huwezi oparate bila umeme.
Matumizi ya computer nayo.........
No comments:
Post a Comment