Translate

Sunday, August 17, 2014

Japo kuna mto mkubwa wenye mamba wengi (mto KIWIRA-Kyela, Mby), hatukati tamaa ya kwenda kufundisha WATANZANIA WENZETU.


Environmental transformation.

A transformer teacher, do everything he/she is capable of to transform the environment he/she is.



Saturday, January 4, 2014

MATUKIO YA HISABATI.



MATOKEO YA DARASA LA SABA TAYARI.

Baraza la mitihani la taifa limetoa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (darasa la saba) na kusema kuwa kiwango cha ufaulu Kimeongezeka na kufiki asilimi 19 ambapo wanafunzi wamefanya vyema katika somo la Kiwahili huku wakianguka katika somo la Hisabati.

MATOKEO YA DARASA LA SABA TAYARI.

Baraza la mitihani la taifa limetoa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (darasa la saba) na kusema kuwa kiwango cha ufaulu Kimeongezeka tofauti na mwaka jana na kufiki asilimi 19 ambapo wanafunzi wamefanya vyema katika somo la Kiwahili huku wakianguka katika somo la Hisabati.