Translate

Wednesday, September 11, 2013

WAKATI MWINGINE MAMBO HAYA HUTUKUTA WAALIMU.

Umeshawahi kutana na mwanafunzi kichwa ngumu na korofi? kwenye picha hii ni malumbano kati ya waalimu na mwanafunzi aletaye ukorofi na jeuri shuleni.
Hapa waalimu walikuwa wanamdhibiti na kumtia adabu maramoja.

No comments:

Post a Comment