WAKIMU katika tarafa ya MATOMBO mkoani Morogoro wamependekeza katiba mpya itamke kupunguzwa kwa mda wa utumishi wa uma kazini kutoka miaka 60 hadi 50.
Translate
Saturday, August 31, 2013
Friday, August 30, 2013
Monday, August 26, 2013
NIDHAMU YA MWANAFUNZI.
Nidhamu shuleni ni kitu cha muhimu sana kwa maendeleo ya mwanafunzi, mwanafunzi assiye kuwa na nidhamu basi taaluma yake huwa ndogo sana, mfano,kuna shule moja ya sekondari manispaa ya morogoro yenyewe ina waalimu wa masomo yote na waalimu huingia darasani kufundisha lakini cha ajabu matokeo ya kidato cha nne 2012 wameanza na division iv ambao ni wanafunzi 21 tu kati ya 110 wengine 89 wamepata ziro.
Nidhamu ya mwanafunzi hutengenezwa na mwanafunzi, wazazi, utawala wa shule na walimu kwa ujumla, kusipo kuwa na ushirikiano nidhamu ya mwanafunzi huyumba na kushuka kitaaluma pia.
Je nini kifanyike-je nikumzira mwanafunzi, kumrekebisha au kumwachia mkuu wa shule peke yake?

Sunday, August 25, 2013
MIMBA MASHULENI
Kama kweli tunahitaji kupunguza mimba mashuleni, basi somo la uzazi lifundishe kwa undani toka mwanafunzi akiwa darasa la tano.
WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI WANAPATIKANA HAPA.
Kama unashida na walimu wa masomo ya sayansi shuleni kwako ( Chemistry, Biology, Mathematics, Geography na Computer) wasiliana na mimi kwa namba 0753285271 utampata.
Friday, August 23, 2013
Shule iliyopo manispaa ya Morogoro haina choo cha walimu.
Shule hii (TUBUYU) iliyopo manispaa ya Morogoro haina choo cha walimu.
Walimu hujisaidia katika choo ( choo hicho hakina hata mlango) kilichopo karibu na nyumba ya mkuu wa shule ambapo mwalimu huhitajika kutembea umbari mrefu hadi kufika chooni..............je kama mwalim kabanwa na tumbo itakuwaje?
Naomba mchango wenu wa kifedha ili kusaidia kujenga choo cha walimu.
Wednesday, August 21, 2013
Tuesday, August 13, 2013
Saturday, August 10, 2013
Friday, August 9, 2013
Tuesday, August 6, 2013
ADHABU ZA MATOFALI SHULENI.
Kulikuwa na adhabu ya kufyatua matofali kipindi cha nyuma, nakumbuka hata mimi nikiwa nasoma form three mwaka 2006 pale Ifunda adhabu kama hii ilishawahi tolewa kwa wanafunzi wenzangu waliokuwa wamechelewa kuripoti shuleni (shule ya boding watu huchelewa kurudi shule baada ya rikizo),kwa jinsi unavyoona adhabu hii inasaidia kupunguza uchelewaji au kudhibiti nidhamu mashuleni?
MAGEUZI YA LUGHA YA KUFUNDISHIA.
Kwenye shule niliyopo hivi sasa, kila mwalimu anayejaribu kutumia kiingereza darasani anasema wanafunzi wanabaki kumuangalia tu bila kumuelewa anacho zungumza, na kwa mimi niliyeko mazoezini ( FIELD) siruhusiwi kutumia kiswahili darasani kwasababu sifundishi kiswahili........kwa kweli huu ni mtihani.
Sunday, August 4, 2013
Kuwa na walimu wengi wanaofanya mazoezi (field) je kunaongeza ufanisi kazini?
Hivi sasa shule nyingi za mjini zinapokea walimu wa mazoezi ( field) kwa wingi sana kiasi kwamba walimu wanagawana topiki (maada) za kufundisha katika darasa moja. Je hii hali inamsaidia mwanafunzi?
Friday, August 2, 2013
Darasani.
Ukiwa kama mwanafunzi, unapenda mwalimu wako akufundishe kwa lugha gani?
1: Kiingereza.
2: Kiswahili
3: Swanglish
4: Nyingine......zitaje.
1: Kiingereza.
2: Kiswahili
3: Swanglish
4: Nyingine......zitaje.
LUGHA YA DARASANI.
Kama wewe ni mwalimu,
Unadhani ni lugha gani ukifundishia wanafunzi wako wanakuelewa vizuri?
Unadhani ni lugha gani ukifundishia wanafunzi wako wanakuelewa vizuri?
UNAMAONI GANI.........
Mwalimu mmoja, kijana mtanashati kama unavyo jua maadili yetu, chumbani sabufa, runinga nchi 21, sofa ya kiaina nk.
Siku moja mwanafunzi wa kike ambeye ni mtoto wa mkuu wa shule kamfuata na kumwambia;
Mwanafunzi: Mwalimu ninakupenda sana na nlikuwa natafuta njia ya kukwambia, na leo sitoki mpaka.......
Mwalimu: Haiwezekani wewe ni mwanafunzi.
Mwanafunzi: Kama huamini kwamba sitoki ngoja uone (akafunga mlango), akamwambia ukikataa napiga kelele kwamba unataka kunibaka.
Mwalimu kuona hivyo akaingia kwenye maombi mazito ili mwanafunzi aondoke, lakini fumba na kufumbua mwanafunzi bado yupo na ametoa nguo na usiku unakaribia.
Je unafanyanyaje kama ni wewe umekumbwa na zahma hii?

Subscribe to:
Posts (Atom)