Kulikuwa na adhabu ya kufyatua matofali kipindi cha nyuma, nakumbuka hata mimi nikiwa nasoma form three mwaka 2006 pale Ifunda adhabu kama hii ilishawahi tolewa kwa wanafunzi wenzangu waliokuwa wamechelewa kuripoti shuleni (shule ya boding watu huchelewa kurudi shule baada ya rikizo),kwa jinsi unavyoona adhabu hii inasaidia kupunguza uchelewaji au kudhibiti nidhamu mashuleni?
No comments:
Post a Comment