Translate

Friday, August 2, 2013

UNAMAONI GANI.........

Mwalimu mmoja, kijana mtanashati kama unavyo jua maadili yetu, chumbani sabufa, runinga nchi 21, sofa ya kiaina nk.
Siku moja mwanafunzi wa kike ambeye ni mtoto wa mkuu wa shule kamfuata na kumwambia;

Mwanafunzi: Mwalimu ninakupenda sana na nlikuwa natafuta njia ya kukwambia, na leo sitoki mpaka.......

Mwalimu: Haiwezekani wewe ni mwanafunzi.

Mwanafunzi: Kama huamini kwamba sitoki ngoja uone (akafunga mlango), akamwambia ukikataa napiga kelele kwamba unataka kunibaka.

Mwalimu kuona hivyo akaingia kwenye maombi mazito ili mwanafunzi aondoke, lakini fumba na kufumbua mwanafunzi bado yupo na ametoa nguo na usiku unakaribia.

Je unafanyanyaje kama ni wewe umekumbwa na zahma hii?

No comments:

Post a Comment