Translate

Tuesday, August 6, 2013

MAGEUZI YA LUGHA YA KUFUNDISHIA.


Kwenye shule niliyopo hivi sasa, kila mwalimu anayejaribu kutumia kiingereza darasani anasema wanafunzi wanabaki kumuangalia tu bila kumuelewa anacho zungumza, na kwa mimi niliyeko mazoezini ( FIELD) siruhusiwi kutumia kiswahili darasani kwasababu sifundishi kiswahili........kwa kweli huu ni mtihani.

No comments:

Post a Comment